Yanga imekamilisha maandalizi yake kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Pamba Jiji mbao utapigwa kesho Jumatano, April 08 katika uwanja wa CCM Kirumba.
Mabingwa hao watetezi wamefanya mazoezi yao ya mwisho katika dimba la CCM Kirumba litakalotumika hapo kesho.










ADVERTISE HERE