Timu nyingine yatua Dar kujifunza kwa Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Apr 2026
Timu nyingine yatua Dar kujifunza kwa Yanga

Timu ya soka ya USFA kutoka Ouagadougou Burkina Faso imewasili Makao Makuu ya Yanga kwaajili ya Semina ya Mafunzo ya mfumo wa uendeshaji wa klabu ya mpira wa miguu.

Mafunzo hayo yameanza leo chini ya idara ya Wanachama na Masoko kisha kuendekea kesho kupitia idara nyingine kabla ya kuhitimisha semina hii na kukutana na Rais wa Yanga Injinia Hersi Said.

Yanga imeendelea kuzivutia timu mbalimbali barani Afrika ambazo zinatamani kujifunza mfumo wa uendeshaji wanaotumia Wananchi.

Ni baada ya kazi kubwa ya 'Transformation' iliyofanywa misimu michache iliyopita chini ya udhamini wa GSM.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
7h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
19h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’