Yanga yakamilisha maandalizi kabla ya kuelekea Zanzibar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Apr 2026
Yanga yakamilisha maandalizi kabla ya kuelekea Zanzibar

Kikosi cha Yanga leo kimejifua uwanja wa KMC Complex yakiwa sehemu ya maandalizi kabla ya kuelekea visiwani Zanzibar kushiriki kombe la Muungano.

Yanga inatarajiwa kuondoka jijini Dar es salaam kuelekea Zanzibari siku ya Jumapili tayari kutetea taji lao walilotwaa msimu huu.

Mashindano ya Kombe la Muungano 2026 yanatarajiwa kuanza Aprili 21 hadi 29 yakishirikisha jumla ya timu nane kutoka Tanzania Bara na Zanzibar.

Kwa mujibu wa taarifa za waandaaji, michezo yote itafanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex, Unguja, huku mashindano hayo yakilenga kuimarisha mshikamano wa kitaifa kupitia michezo pamoja na kukuza vipaji vya soka.

Timu zinazotarajiwa kushiriki kutoka Tanzania Bara ni Yanga, Simba, Azam FC na Singida Black Stars, wakati upande wa Zanzibar utawakilishwa na KVZ FC, Mlandege FC, Mafunzo SC na Muembe Makumbi City.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’