Kikosi cha Yanga kimekamilisha maandalizi kuelekea mchezo wa fainali kombe la Muungano dhidi ya Simba.
Mchezo huo utapigwa kesho Jumatano katika uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.

ADVERTISE HERE