Kesho Jumatano May 13 2026 Yanga itakuwa mkoani Singida kumenyana na wenyeji wao Dodoma Jiji katika mchezo wa ligi kuu utakaopigwa uwanja wa Airtel Mtipa.
Mchezo huo unapigwa Singida Dodoma Jiji wakichagua kutumia uwanja huo baada ya uwanja wa Jamhuri Dodoma kufungiwa na TFF.
Wenyeji wa mchezo wametangaza viingilio;

ADVERTISE HERE