Aliyekuwa mlinda lango namba moja wa Yanga Deogratius Munishi 'Dida' amejiunga na timu ya Tuks FC inayomilikiwa na Chuo Kikuu cha Pretoria.
Tuks inashiriki ligi daraja la kwanza nchini Afrika Kusini.
Dida ameondoka Yanga baada ya mkataba wake kumalizika.
Tuks FC maskani yake yako Hatfield mjini Pretoria kwa sasa timu hiyo inasajili wachezaji wakubwa wenye uzoefu katika jitihada za kurudi Ligi Kuu ya ABSA Afrika Kusini.
Dida amedakia klabu zote kubwa Tanzania, kuanzia Simba, Azam FC, Mtibwa Sugar na Yanga baada ya kuibukia Manyema FC, wakati pia amewahi kucheza soka ya kulipwa Oman.

ADVERTISE HERE