Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limethibitisha mchezo wa nusu fainali ya kombe la CRDB kati ya Azam Fc dhidi ya Yanga utapigwa Juni 21, 2026.
Mtanange huo umepangwa kupigwa uwanja wa CCM Kirumba, saa 10 jioni. Kabla ya mchezo huo, Juni 20 mchezo wa kwanza wa nusu fainali kati ya Simba dhidi ya Coastal Union utapigwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha.

ADVERTISE HERE