Tunawatakia Wananchi wote heri ya Eid al-Adha yenye furaha, amani na baraka tele.
Katika siku hii tukufu, tuendelee kuonyesha huruma, mshikamano na ukarimu kwa wote.
Allah akubali sadaka zetu, sala zetu na aweze kutujalia rehema na mafanikio maishani.
ADVERTISE HERE