Kikosi cha Yanga leo kimeingia siku ya tatu ya maandalizi yake kuelekea mechi za kuhitimisha msimu 2025/26.
Kocha Abdilhamid Moalin ameendelea kukiandaa kikosi kikamilifu ili kuhakikisha malengo ya kutetea mataji yote yaliyobaki yanafanikiwa.









ADVERTISE HERE