Kikosi cha Yanga kinaendelea kujifua KMC Complex kujiandaa na mechi za mwisho kuhitimisha msimu huu.
Mazoezi ya leo yalishuhudiwa na Mtendaji Mkuu wa Yanga Andre Mtine.
Kocha Abdihamid Moalin anaweka sawa mikakati ili kuhakikisha Yanga inafanikiwa kutetea mataji yote mawili yaliyobaki.








ADVERTISE HERE