Katika maandalizi kuelekea mechi za kuhitimisha msimu, kikosi cha Yanga leo kilicheza mechi ya kirafiki dhidi ya timu ya vijana ya Yanga U20 na kuibuka na ushindi wa mabao 6-0.
Ulikuwa mchezo ambao ni sehemu ya program ya mazoezi kwa kikosi cha kocha Abdihamid Moalin ambaye anaziandaa silaha zake kuelekea mikiki mikiki ya mechi muhimu za kuhitimisha msimu.









ADVERTISE HERE