Kaze aula Afrika Kusini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Jun 2026
Kaze aula Afrika Kusini

Kocha wa zamani wa Yanga Cedric Kaze ataendelea kusalia Afrika Kusini baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja kuinoa klabu ya Sekhukhune United inayoshiriki ligi kuu nchini humo.

Kaze aliiongoza klabu ya Kaizer Chiefs msimu uliopita akishirikiana na Khalil Ben Youssef.

Wawili hao walichukua majukumu yaliyoachwa na Nasreddine Nabi ambaye ndiye aliyekuwa kocha mkuu wa Chiefs lakini alilazimika kuachia ngazi kutokana na matatizo ya kifamilia.

Kaze na Ben Youssef walipata mafanikio makubwa wakati wakiwa Yanga chini ya Nabi wakiiwezesha Yanga kushinda mataji yote ya ndani 2022/23 na kucheza fainali ya kombe la Shirikisho la CAF (CAF CC).

Msimu uliopita, Kaze na Ben Youssef waliiwezesha Chiefs kumaliza nafasi ya tatu kwenye ligi ya Afrika Kusini na kukata tiketi ya kushiriki michuano ya ligi ya mabingwa msimu ujao.

Hata hivyo haikutosha kuwashawishi mabosi wa timu hiyo kuwaongezea mkataba baada ya mikataba yao ya awali kumalizika

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’