Mashujaa Fc wametangaza viingilio mchezo dhidi ya Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Jun 2026
Mashujaa Fc wametangaza viingilio mchezo dhidi ya Yanga

Jumamosi ya wiki hii Yanga itaanza kampeni ya kuzisaka alama 15 za kutetea ubingwa wa ligi kuu mkoani Kigoma pale watakapoikabili Mashujaa Fc katika mchezo wa raundi ya 26.

Tayari wapinzani wao Mashujaa Fc wametangaza viingilio kuelekea mtanange huo ambao utapigwa Juni 13 saa 10 jioni kwenye uwanja wa Lake Tanganyika.

Wananchi wanatarajiwa kuelekea mkoani Kigoma siku ya Alhamisi, ambapo Ijumaa watakuwa na nafasi ya kukamilisha maandalizi yao kwenye uwanja wa Lake Tangayika.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’