Koutiama kasaini miwili Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Jun 2026
Koutiama kasaini miwili Yanga

Unaweza kusema usajili wa kwanza wa Yanga kwenye dirisha kubwa litakalofunguliwa Julai ni mshambuliaji wa Kimataifa wa Burkina Faso Yves Koutiama.

Inaelezwa mshambuliaji huyo amesaini mkataba wa miaka miwili kuwatumikia mabingwa hao wa soka Tanzania.

Koutiama ambaye anaitumikia Polisi Fc ya Kenya, alitua nchini jana kukamilisha mchakato wa usajili kisha kurejea nchini Kenya.

Miezi michache aliyoitumikia Polisi Fc aliyojiunga nayo kwenye usajili wa dirisha dogo, imetosha kumtangaza na hatimaye kutua mikononi mwa Wananchi.

Koutiama pia hutumikia timu ya Taifa ya Burkina Faso.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’