Baada ya kuwasili mkoani Kigoma mapema, hakuna muda wa kupoteza kwa Wananchi kwani leo wamefanya mazoezi yao ya kwanza mkoani humo kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mashujaa Fc.
Jumamosi, Juni 13 Yanga watakuwa wageni wa Mashujaa Fc katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Lake Tanganyika.












ADVERTISE HERE