Kikosi cha Yanga kimehitimisha maandalizi yake leo uwanja wa Lake Tanganyika tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mashujaa Fc.
Yanga iko tayari kupambania alama tatu kwenye mchezo huo ili kuendelea kuweka hai malengo ya kutetea ubingwa kwa msimu wa tano mfululizo.










ADVERTISE HERE