Mayele ameiwakilisha vyema Afrika, Wananchi wamefurahi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Jun 2026
Mayele ameiwakilisha vyema Afrika, Wananchi wamefurahi

Wakati DR Congo ikiweka rekodi ya kutinga hatua ya 32 bora michuano ya kombe la Dunia inayoendelea huko Mexico, Canada na Marekani, mshambuliaji wa zamani wa Yanga Fiston Mayele ameandika rekodi yake.

Katika mechi dhidi ya Uzbekistan ambayo DR Congo walihitaji ushindi ili kukata tiketi ya hatua ya 32 bora, ukawa mchezo wa kwanza kwa Mayele katika michuano hiyo akiingia kwenye dakika ya 50.

Dakika chache tu baada ya kuingia ubao ukisoma 1-1, Mayele akaweka kambani bao la pili na kuliweka Taifa lake mbele kabla ya Yoane Wissa kufunga bao la tatu dakika za lala salama na kuihakikishia DR Congo ushindi huo muhimu.

Kwa Mayele ilikuwa siku ya kihistoria kwake akitimiza ndoto lakini pia akilisaidia Taifa lake kupata ushindi muhimu.

Mayele hakusita kutumia ile shangillia yake maarufu ya kutetema baada ya kupachika bao lake.

Ni heshima kwa Taifa lake lakini pia Yanga inajivunia kwani unaweza kusema mwanzo wa hadithi yake ilianzia hapa Jangwani.

Rais wa Yanga Injinia Hersi Said alisafiri DR Congo na kumleta Tanzania wakati akiwa hana jina.

Yanga ilimpa nafasi akatengeneza jina lake na kuwashawishi matajiri wa Pyramids kumsajili.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
7h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
11h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
12h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
12h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’