Yanga U20 dimbani dhidi ya JKT Tanzania kuisaka fainali U20

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Jun 2026
Yanga U20 dimbani dhidi ya JKT Tanzania kuisaka fainali U20

Vijana wa Yanga SC U20 leo wanashuka dimbani kuwania tiketi ya kufuzu hatua ya fainali ya NBC Youth League.

Ni dhidi ya timu ya vijana ya JKT Tanzania mchezo huo ukipigwa siku moja kabla ya timu za wakubwa kukutana dimba la Isamuhyo kwenye mechi ya kuhitimisha msimu hapo kesho.

Yanga U20 hawakufika hatua hiyo kwa bahati mbaya na sasa wana hatua moja tu kuelekea fainali ili kwenda kuwania uChampion wa ligi ya Vijana.

Kila la kher Yanga U20...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’