Mdhamini wa Yanga Ghalib Said Mohamed 'GSM' ni miongoni mwa waliofika Hospitalini kumjulia hali kiungo mshambuliaji Pacome Zouzoua ambaye amefanyiwa upasuaji usiku wa kuamkia leo Hospitali ya Agha Khan jijini Dar es salaam.
Rais wa Yanga Injinia Hersi Said, Stephane Aziz Ki waliongozana na GSM kumjulia hali Pacome ambaye amefarijika sana kutokana na upendo anaoshuhudia.






ADVERTISE HERE