Mwambusi aibukia Azam FC

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Jun 2018
Mwambusi aibukia Azam FC
Aliyewahi kuwa Kocha Msaidizi wa Yanga Juma Mwambusi ametambulishwa kuwa kocha msaidizi wa Azam FC baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili.

Mwambusi ambaye pia amewahi kutamba na klabu ya Mbeya City, amekwenda Azam FC kufanya kazi na Hans van Pluijm, kocha Mkuu wa timu hiyo.

Pluijm na Mwambusi wamewahi kufanya kazi pamoja katika klabu ya Yanga msimu wa 2015/16 wakiiwezesha Yanga kutwaa ubingwa wa VPL na kombe la FA pia kushirikia michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika hatua ya makundi.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’