Katika dhamira ya kudumisha uhusiano na wadhamini, klabu ya Yanga imeanza ziara ya kutembeza kwa wadhamini wao makombe matano ya ligi waliyotwaa mfululizo.
Leo maafisa wa Yanga walikuwa ofisi za Azam Media Group kuonyesha mataji hayo kwa kampuni hiyo ambayo ni moja ya wadhamini wakubwa wa mabingwa hao wa kihistoria.





ADVERTISE HERE