Kikosi cha vijana cha Yanga kinahitaji kushinda mchezo wa mwisho wa kundi A michuano ya Uhai dhidi ya Mbeya City leo ili kuwa na matumaini ya kufuzu kwa hatua ya robo fainali ya michuano hiyo inayofanyika mkoani Dodoma.
Mchezo huo utapigwa saa kumi jioni katika viwanja vya chuo kikuu cha Dodoma, UDOM.
Hata hivyo ili kujihakikishia kusonga mbele itabidi kuomba 'dua baya' mchezo kati Mbao FC dhidi ya Ruvu Shooting utoe mshindi.
Kwani kama Yanga itashinda na timu hizo kutoka sare, uwiano wa mabao utaamua ni timu gani zitasonga mbele.
Yanga iko nafasi ya tatu kundi A ikiwa na alama mbili wakati Mbao FC inaongoza ikiwa na alama nne sawa na Ruvu Shooting.

ADVERTISE HERE