Chyna kocha wa viungo Yanga arejea

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Jul 2026
Chyna kocha wa viungo Yanga arejea

Kocha wa viungo wa Yanga SC, Tshephang "Chyna" Mokaila, amerejea rasmi jijini Dar es Salaam kuendelea na majukumu yake ya kuwanoa mabingwa hao wa soka Tanzania Bara.

Yanga imefikia makubaliano ya kuhuisha mkataba wake baada ya mapendekezo ya kocha mkuu Manqoba Mngqithi.

Mkataba wake wa mwanzo ulimalizika mwishoni mwa msimu uliopita. Chyna, Abduhamid Moalin wanatarajiwa kujumuishwa kwenye benchi jipya la ufundi linaloongozwa na Manqoba.

Kikosi cha Yanga leo kinatarajiwa kuanza rasmi maandalizi ya msimu mpya 2026/27 wachezaji wakiripoti kambini kuanzia siku ya jana Jumatatu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’