Msimu ujao 2026/27 klabu ya Yanga itatumia uwanja wa Uhuru katika mechi zote za mashindano ya ndani.
Rais wa Yanga Injinia Hersi Said leo akaongozana na benchi la ufundi chini ya kocha Manqoba Mnqithi wakitembelea uwanja huo kujionea mazingira yake baada ya ukarabati mkubwa uliofanyika.




ADVERTISE HERE