Rais wa klabu ya Yanga na Mwenyekiti wa umoja wa klabu barani Afrika (ACA) Injinia Hersi Said leo atazungumza na Wananchi.
Tukio hilo linatarajiwa kujiri saa 5 usiku ikielezwa kuna BIG SURPRISE kwa Wananchi.
Leo utambulisho wa nyota wa kigeni unaanza na surprise kutoka kwa Rais wa klabu mwenyewe.

ADVERTISE HERE