Moalin kuondoka Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Jul 2026
Moalin kuondoka Yanga

Licha ya kupewa ofa ya kusalia kwenye nafasi ya kocha msaidizi kwenye kikosi cha Yanga, kocha Abdihamid Moalin hatarajiwi kuwa sehemu ya benchi la ufundi la mabingwa hao wa nchi, imefahamika.

Inaelezwa Moalin amehitaji majukumu makubwa zaidi ya kocha msaidizi na hivyo kushindwa kufikia makubaliano na uongozi wa Yanga.

Taarifa zaidi imebainisha kuwa kocha huyo kuna klabu nchini Kenya imemuhitaji akawe Kocha Mkuu.

Moalin alirejeshwa na Yanga kuongeza nguvu benchi la ufundi ambalo awali lilikuwa likiongozwa na kocha Pedro Goncalves.

Baada ya Yanga kuachana na Goncalves, Moalin akapewa jukumu la kuongoza benchi la ufundi hadi mwishoni mwa msimu uliopita ambapo aliwaongoza Wananchi kutetea taji la ligi kuu kwa msimu wa tano mfululizo.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
7h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
11h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
16h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
20h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’