Shalulile anatua Dar Jumatatu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Aug 2026
Shalulile anatua Dar Jumatatu

Baada ya kutambulishwa rasmi kuwa mchezaji wa Yanga, bado kuna watu hawaamini kama mshambuliaji Peter Shalulile ni Mwananchi hadi wamuone pale Avic Town.

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amewatoa hofu mashabiki wa timu hiyo akiwahakikishia kuwa watamuona Shalulile siku ya Jumatatu.

Shalulile anatarajiwa kuwasili nchini Jumatatu na kuungana na wachezaji wenzake ambao wanaendelea na kambi ya maandalizi ya msimu mpya Avic Town.

Mfungaji bora huyo wa muda wote ligi kuu ya Afrika Kusini, anatua kubeba majukumu ya kuongoza safu ya ushambuliaji ya Yanga kwenye ligi na michuno ya ligi ya mabingwa msimu ujao.

Download Xtra 90 App

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
12h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
21h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’