Safu mpya ya uongozi wa Yanga kwa kipindi cha miaka minne imepatikana jana baada kukamilika kwa uchaguzi mkuu.
Injinia Hersi Said na Arafat Haji walitetea nafasi zao wakipita bila kupingwa baada ya kukosa wapinzani.
Kura zikapigwa kuchagua Wajumbe watano wa Kamati ya utendaji ambapo usiku matokeo ya kura hizo yakatangazwa na washindi kupatikana.

ADVERTISE HERE