Tiketi zinayoyoma Mwananchi, kwa wale ambao bado hawajakata tiketi pengine wamesalia na muda mfupi tu kabla ya kusikia SOLD OUT.
Ni Jumapili August 09 pale uwanja wa Uhuru, Tamasha kubwa kabisa la Burudani kuhitimisha Wiki ya Mwananchi litashuhudiwa.
Nyota wapya wa Yanga wakiongozwa na mshambuliaji Peter Shalulile watatamulishw rasmi kwa Wananchi.


ADVERTISE HERE