Tangu kuanza kwa Tamasha la Wiki ya Mwananchi, haijawahi kushuhudiwa Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe akishiriki kwenye tukio la utambulisho wa kikosi.
Kwa mara ya kwanza leo Kamwe ataongoza shamrashamra za utambulisho wa kikosi cha Wananchi.
Kuna sapraizi juu ya sapraizi! Kamwe ataingia vipi uwanjani leo? Sapraizi ya kwanza ni hiyo...!
Wananchi wamejitokeza kwa wingi dimba la Uhuru wakiendelea kupata burudani huku wakisubiri matukio makubwa ya siku..!





ADVERTISE HERE