Baada ya kutwaa Ngao ya Jamii visiwani Zanzibar kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba jana, kikosi cha Yanga kimeondoka Zanzibar kuelekea Ruangwa tayari kwa mchezo wa ufunguzi ligi kuu ya NBC 2026/27 dhidi ya Namungo Fc.
Jumamosi, August 15, Namungo Fc watakuwa wenyeji wa Yanga katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Majaliwa.





ADVERTISE HERE