Tiketi za mchezo wa ligi kuu kati ya Yanga dhidi ya Coastal Union utakaopigwa leo zinapatikana kupitia mfumo mpya wa tiketi uliozinduliwa na TFF hivi karibuni.
Viingilio vya mchezo huo Mzunguuko ni Tsh 10,000/- na VIP ni Tsh 20,000/-


ADVERTISE HERE