AS FAR wamemtambulisha Okello

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Aug 2026
AS FAR wamemtambulisha Okello

Kiungo mshambuliaji Allan Okello ametambulishwa rasmi na klabu ya AS FAR ya Morocco aliyojiunga nayo akitokea klabu ya Yanga.

Okello amejiunga na timu hiyo kwa mkataba wa miaka mitatu ikielezwa Yanga imevuna zaidi ya 3.1B katika usajili wake.

Baada ya kun'gara kwenye kikosi cha Wananchi alichojiunga mwezi Januari 2026, Okello amezivutia klabu nyingi kwenye dirisha hili.

Usajili wake AS FAR pia umefanikisha Yanga kumrejesha kiungo mshambuliaji Stephane Aziz Ki ambaye amechukua nafasi yake.

Kila la kheri Star Boy...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
8h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’