Mechi za Mzunguuko wa tatu ligi kuu ya NBC zimekamilika huku mabingwa watetezi wa ligi hiyo Yanga na Geita Gold zikiweka rekodi ya vipigo.
Wakati Yanga ikiifumua JKT Tanzania mabao 4-0 na kurejea kileleni mwa msimamo wa ligi, Geita Gold ikaifumua Kagera Sugar mabao 6-2 na kuwa timu ya kwanza kufunga mabao mengi kwenye mechi moja msimu huu.
Baada ya mechi hizo tatu, Yanga imejipambua kuwa timu hatari zaidi mbele ya lango ikifunga mabao 11 na kuruhusu mabao mawili.

ADVERTISE HERE