Baada ya utambulisho wa Kimataifa wa jezi za Yanga zitakazotumika kwenye michuano ya ligi ya mabingwa msimu huu, Wananchi wameendelea kufurika Makao Makuu ya Yanga, mtaa wa Jangwani na Twiga jijini Dar es salaam kujipatia mtoko wao wa Kimataifa.
Hii ni mara ya kwanza kwa Yanga kuzindua mapema jezi zake za mashindano ya CAF kwani misimu iliyopita jezi hizo zilianza kutumika kuanzia hatua ya makundi.
Jezi ni Tsh 45,000/- kwa bei ya rejareja na Tsh 32,000/-.






ADVERTISE HERE