Tuko tayari kuikabili Gaborone United - Kangwanda

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Sep 2026
Tuko tayari kuikabili Gaborone United - Kangwanda

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Albert Kangwanda, amesema hali ya kikosi kambini ni nzuri na wachezaji wamejiandaa vyema kuelekea mchezo wao wa CAF Champions League dhidi ya Gaborone United ya Botswana.

Kangwanda amesema maandalizi yameenda vizuri na kwamba kikosi kiko tayari kupambana kwa nguvu zote katika mchezo huo. Amesisitiza kuwa wachezaji wamejipanga kuhakikisha wanatoa kila kitu uwanjani ili kupata matokeo waliyokwenda kuyatafuta.

"Hali kambini ni nzuri sana. Tumejiandaa vizuri kwa ajili ya mchezo huu na kwa matumaini kesho tutatoa kila kitu uwanjani na kupata matokeo ambayo tumekuja kuyatafuta," alisema

Yanga inatarajiwa kushuka dimbani Jumamosi, Septemba 5, 2026, dhidi ya Gaborone United katika Uwanja wa National Stadium, huku timu hiyo ikilenga kuanza kampeni yake ya CAF Champions League kwa matokeo chanya ugenini.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
2h ago
READ MORE β†’
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
14h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
18h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
23h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’