Mpya

Kituo kinachofuata ni Geita Gold, Ligi Kuu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2d ago
Kituo kinachofuata ni Geita Gold, Ligi Kuu

Baada ya kufanikiwa kutinga raundi ya kwanza ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika kwa ushindi wa jumla wa mabao 3-2 dhidi ya Gaborone United, kikosi cha Yanga sasa kinarejesha makali yake kwenye ligi kuu ya NBC.

Kesho Jumanne, saa 1 usiku, Yanga itashuka dimba la KMC Complex kuwakabili Geita Gold katika mchezo wa raundi ya 6.

Vinara hao wa ligi kuu, watashuka dimbani wakiwa na dhamira ya kuendeleza makali yao waliyoanza nayo msimu huu.

Yanga inaongoza ligi ikikusanya alama 15 baada ya mechi tano, ushindi dhidi ya Geita Gold utawahakikishia Wananchi kuendelea kusalia katika nafasi hiyo.

Huo utakuwa mchezo wa mwisho wa ligi mwezi huu kabla ya kalenda ya FIFA. Mchezo utakaofuata ni dhidi ya Simba Oktoba 10

More Stories

Wachezaji wetu wameonyesha tabia ya kibingwa - Kamwe
Wachezaji wetu wameonyesha tabia ya kibingwa - Kamwe
44m ago
READ MORE β†’
Mzize 'amkosha' Manqoba
Mzize 'amkosha' Manqoba
3h ago
READ MORE β†’
Highlights; Yanga 1-0 Geita Gold, NBC PL (FT)
Highlights; Yanga 1-0 Geita Gold, NBC PL (FT)
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Septemba 16 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Septemba 16 2026
6h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 1-0 Geita Gold, NBC PL
FT : Yanga 1-0 Geita Gold, NBC PL
15h ago
READ MORE β†’
Goal : Yanga 1-0 Geita Gold, NBC PL (FT)
Goal : Yanga 1-0 Geita Gold, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Geita Gold, NBC PL, Sept 15
Kikosi : Yanga vs Geita Gold, NBC PL, Sept 15
19h ago
READ MORE β†’
Mzize kurejea dhidi ya Geita Gold leo
Mzize kurejea dhidi ya Geita Gold leo
21h ago
READ MORE β†’
Shalulile hatihati kuikosa Geita Gold
Shalulile hatihati kuikosa Geita Gold
1d ago
READ MORE β†’
Casemiro, Chuga Boy katika majukumu ya timu ya Taifa U20
Casemiro, Chuga Boy katika majukumu ya timu ya Taifa U20
1d ago
READ MORE β†’