Mpya

Mzize kurejea dhidi ya Geita Gold leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21h ago
Mzize kurejea dhidi ya Geita Gold leo

Baada ya kukosekana uwanjani kwa takribani msimu mzima, habari njema kwa mashabiki wa Yanga ni kurejea kikosini kwa mshambuliaji Clement Mzize.

Yanga imethibitisha kuwa Mzize leo atakuwa sehemu ya wachezaji ambao wataikabili Geita Gold katika mchezo wa ligi kuu ya NBC.

Ni rasmi Bull Striker Mzize anarejea tena kuwapa burudani Wananchii..!

More Stories

Wachezaji wetu wameonyesha tabia ya kibingwa - Kamwe
Wachezaji wetu wameonyesha tabia ya kibingwa - Kamwe
43m ago
READ MORE β†’
Mzize 'amkosha' Manqoba
Mzize 'amkosha' Manqoba
3h ago
READ MORE β†’
Highlights; Yanga 1-0 Geita Gold, NBC PL (FT)
Highlights; Yanga 1-0 Geita Gold, NBC PL (FT)
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Septemba 16 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Septemba 16 2026
6h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 1-0 Geita Gold, NBC PL
FT : Yanga 1-0 Geita Gold, NBC PL
15h ago
READ MORE β†’
Goal : Yanga 1-0 Geita Gold, NBC PL (FT)
Goal : Yanga 1-0 Geita Gold, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Geita Gold, NBC PL, Sept 15
Kikosi : Yanga vs Geita Gold, NBC PL, Sept 15
19h ago
READ MORE β†’
Shalulile hatihati kuikosa Geita Gold
Shalulile hatihati kuikosa Geita Gold
1d ago
READ MORE β†’
Casemiro, Chuga Boy katika majukumu ya timu ya Taifa U20
Casemiro, Chuga Boy katika majukumu ya timu ya Taifa U20
1d ago
READ MORE β†’