Mtendaji Mkuu wa Yanga Andre Mtine akiongoza na baadhi ya wajumbe wa Kamati ya utendaji, wanachama, mashabiki na wadau mbalimbali wa mpira wa miguu, wamefika kwenye msiba wa Mwanachama maarufu wa Yanga Haji Omar maarufu kama Mzee Mpili aliyefariki dunia jana.
Mwenye ez Mungu ailaze roho yake mahali pema, pepon, AMEN..









