Mshambuliaji wa Yanga Seleman Mwalimu ameongezwa kwenye kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania U-23 kuelekea mchezo wa kufuzu AFCON ya vijana U 23 dhidi ya Kenya.
Mchezo huo utapigwa leo Jumatano, Oktoba 06 kwenye uwanja wa Uhuru.
Stars inahitaji kushinda angalau mabao 3-0 ili iweze kufuzu hatua inayofuata baada ya kupoteza kwa mabao 4-1 kwenye mchezo wa kwanza uliopigwa Kenya.
Mchezo huo utapigwa saa 10 jioni.
ADVERTISE HERE