Makamu Mwenyekiti wa Yanga Clement Sanga amemuandikia barua Mfanyabishara Yusuf Manji juu ya maamuzi ya kukataa kujiuzulu kwake yaliyofikiwa na wanachama kwenye Mkutano Mkuu uliofanyika Juni 10, 2018.
Kumekuwa na sintofahamu juu ya ukimya wa Manji lakini uongozi wa Yanga umethibitisha kuandikwa kwa barua hiyo ambayo tayari iko mezani kwa Manji.
Kumekuwa na sintofahamu juu ya ukimya wa Manji lakini uongozi wa Yanga umethibitisha kuandikwa kwa barua hiyo ambayo tayari iko mezani kwa Manji.
ADVERTISE HERE