Mchezo wa kirafiki kati ya Yanga dhidi ya Singida United unaopigwa kesho Jumamosi Agosti 05 kwenye dimba la Taifa, utaonyeshwa mubashara na Azam TV kupitia channel yao ya Azam Sports HD
Hii ni nafasi kwa wale watakaoshindwa kufika kwenye dimba la Taifa hasa wale wa mikoani kuweza kuishuhudia Yanga mpya.
Wakati huo huo kikosi cha Yanga kilichokuwa kimeweka kambi ya siku 10 mkoani Morogoro kinatarajiwa kuwasili leo jijini Dar es salaam.

ADVERTISE HERE