Kikosi cha Yanga kinaendelea kujifua Avic Town kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa kuwania kufuzu hatua ya makundi dhidi ya CFFA ya Madagascar.
Mchezo huo wa mkondo wa kwanza utapigwa Jumamosi, Oktoba 17 kwenye uwanja wa Azam Complex, saa 9 Alasiri.
Kocha Mkuu wa Yanga Manqoba Mngqithi na vijana wake wanaandaa dozi itakayowatosha CFFA siku ya Jumamosi.




ADVERTISE HERE