Kikosi cha Yanga kimeondoka jijini Dar es salaam kuelekea mkoani Arusha tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya TRA United.
Mchezo huo utapigwa Jumamosi, Oktoba 24 kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid.

ADVERTISE HERE