Droo ya htua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika (CAFCL) imefanyika Misri leo ambapo mabingwa wa soka Tanzania Bara Yanga wameangukia kundi B.
Katika kundi hilo Yanga imepangwa na vigogo wengine Club Africain, MC Alger na Zamalek.
Haya hapa makundi yote
A - Wiliete SC, Nouadhibou, Petro Atletico, Esperance
B- Cub Africain, MC Alger, Young Africans, Zamalek
C - Colombe, Orlando Prates, Simba, RS Berkane
D - MAS de FES, Horoya AC, Al Hilal, Pyramids
ADVERTISE HERE