Rais wa Yanga na Mwenyekiti wa Klabu Afrika (ACA), Injinia Hersi Said, ametembelea makao makuu ya klabu ya Al Ahly ya Misri.
Hersi amefika klabuni hapo leo Alhamisi, Oktoba 29, 2026, huku klabu hiyo ikijiunga rasmi na ACA.
Kiongozi huyo wa ACA pia anatarajiwa kushuhudia mtanange wa Ligi Kuu ya Misri kati ya Al Ahly na Modern Sport utakaopigwa leo usiku.


ADVERTISE HERE