Mshambuliaji wa Yanga Clement Mzize amerejeshwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kwa ajili ya mechi za kuwania tiketi ya Afcon 2027.
Stars inatarajiwa kucheza dhidi ya Nigeria Novemba 13 na Novemba 17.
Wachezaji watano wa Yanga wamejumuishwa katika kikosi hicho ambao ni Dickson Job, Ibrahim Bacca, Bakari Mwamnyeto, Clement Mzize na Seleman Mwalimu.

ADVERTISE HERE