Kikosi cha Yanga leo kimerejea mazoezi katika maandalizi kuelekea mechi zijazo za ligi kuu na hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa (CAFCL).
Habari njema kwa Wananchi ni kurejea kwa nyota waliokuwa majeruhi Yao Kouassi na Duke Abuya.
Yao na Abuya wameanza rasmi mazoezi wakirejesha matumaini kwa mashabiki wa Yanga kuelekea mechi za ligi ya mabingwa.





ADVERTISE HERE