Yanga yakamilisha maandalizi Zanzibar, kituo kinachofuata Polisi Tanzania

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3d ago
Yanga yakamilisha maandalizi Zanzibar, kituo kinachofuata Polisi Tanzania

Kikosi cha Yanga kimekamilisha takribani wiki moja ya maandalizi visiwani Zanzibar.

Wananchi wameondoka Zanzibar leo kurejea Dar es salaam kabla ya kuunganisha mkoani Kilimanjaro wanakokabiliwa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Polisi Tanzania.

Ijumaa, Novemba 20 Yanga itakuwa ugenini dimba la Ushirika kuwakabili wenyeji wao Polisi Tanzania.

Yanga iliweka kambi ya takribani siku 10 Zanzibar chini ya kocha Fadlu Davids.

Yanga SC Stories

Goals : Polisi Tanzania 0-2 Yanga, NBC PL (FT)
Goals : Polisi Tanzania 0-2 Yanga, NBC PL (FT)
10h ago
READ MORE β†’
FT : Polisi Tanzania 0-2 Yanga, NBC PL
FT : Polisi Tanzania 0-2 Yanga, NBC PL
11h ago
READ MORE β†’
Kikosi : JKT Tanzania vs Yanga, NBC PL, Nov 20
Kikosi : JKT Tanzania vs Yanga, NBC PL, Nov 20
14h ago
READ MORE β†’
Mudathir amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Mudathir amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Dladla awaaga Wananchi
Dladla awaaga Wananchi
19h ago
READ MORE β†’
Matchday; Polisi Tanzania vs Yanga, NBC PL, Nov 20
Matchday; Polisi Tanzania vs Yanga, NBC PL, Nov 20
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Ijumaa, Novemba 20 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Novemba 20 2026
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yawasili Moshi tayari kuikabili Polisi Tanzania
Yanga yawasili Moshi tayari kuikabili Polisi Tanzania
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yakamilisha maandalizi tayari kuifuata Polisi Tanzania
Yanga yakamilisha maandalizi tayari kuifuata Polisi Tanzania
1d ago
READ MORE β†’
Dikgacoi atamba Yanga ipo tayari kuivaa Polisi Tanzania
Dikgacoi atamba Yanga ipo tayari kuivaa Polisi Tanzania
1d ago
READ MORE β†’