Leo ilikuwa Yanga Media Day ambapo waandishi wa habari walijitokeza kwa wingi uwanja wa Gymkhana jijini Dar es salaam ambapo walipata nafasi ya kushuhudia mazoezi pamoja na kufanya mahojiano mbalimbali na benchi la ufundi na wachezaji.